Mkuu,Asante.
Juzi Jamaa angu ananipigia simu ucku ananiuliza hivi Jamaa Juzi Nilimaliza laki TANO kweli?Namwambia kivipi?Ananiambia nilipokuita nilikuwa na 500k Mfukoni.Nikacheka nikamwambia acha kupiga mahesabu baada ya kutumia,Chakula na pombe havitafanya kazi.Piga hesabu kabla.Any way Wengi tumefikia kwenye hio level ila Namshukuru Mungu kwamba kwa sasa nimefikia hatua nzuri.Kwanza sitembei na zaidi ya 50k to 100k pili sitoi ofa ya bia kwa demu bila masimamngo kidogo.Nina neno langu la kishenzi(Unataka Ofa utaweza kulipia au unajitia uroho tu hakuna cha bure mjini Bajeti" Shida ni hiz Pisi kali huwa zinafuta network zote kuanzi 1G mpaka 5G unabaki kusema tu OK.Ila tutafika tu.
PS
Hongera kwa kuweza kumudu control,wengi wamekwa na mbaya zaidi PESA ZA MAWAZO