Mlevi alirudi home na kumkuta mkewe akiwa katika bikini moja matata
Kinyume na mategemeo ya mke aliyekusudia kuamsha usiku wa malove-davi, mlevi akacheka mpaka mke akashangaa
Mke: mume wangu kinachokuchekesha ni nini?
Mlevi: unajua mke wangu toka nizaliwe sijawahi ona t'ako limevishwa kandambili
ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaa!Mlevi alirudi home na kumkuta mkewe akiwa katika bikini moja matata