Mlevi wa ukweli hupitia hatua zifuatazo

Mlevi wa ukweli hupitia hatua zifuatazo

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274
Mlevi wa ukweli hupitia hatua kadhaa za ulevi,
hatua ya kwanza ni
*BUSARA, katika hatua hii
pombe zinakupa BUSARA kuliko mtu yoyote
duniani, hapa unakuwa na uwezo wa kuongelea
chochote na majibu unakuwa nayo, iwe ni matibabu ya ukimwi au ni namna rahisi ya kuleta maendeleo hapa Tanzania kwa kipindi cha mwezi mmoja tu, yote hayo unaweza
kuyaelezea, yakiwa na takwimu na mifano kutka
nchi kama Kenya , Uholanzi na hata Iceland.
Ukiendelea kulewa kidogo unaanza kuwa
*MTANASHATI, kwa kweli hapa unakuwa ni mtu
mwenye sura ya mvuto, kama ni mwanaume,
wadada wote wakikuona tu wanakutaka wao, na
ukiwa mdada katika hatua hii hakuna
mwanaume duniani anaeweza kukukataa, katika
hatua hii, wanaume kwa wanawake huanza
kurembua macho, ikiwa ni kama ishara ya
uhandsome au ubeauty (wanaume nao
hurembua macho sana tu). Hatua inayofuata ya
ulevi ni kuwa
*PEDESHE, katika hatua hii
unakuwa na uwezo wa kuagizia mtu yoyote
kinywaji hasa wale ambao hawajatambua kuwa
unavutia, pesa zinakuwa hazina kazi mfukoni
zaidi ya kununulia watu kinywaji, soda hununui
wewe ni pombe tu, tena ikiwa na bei kubwa
zaidi kwako ni bora zaidi. Ukiongeza ulevi
unaingia hatua ya kuwa
*BAUNSA na kuwa na
nguvu kuliko mtu yoyote duniani, katika hatua
hii unajikuta unaweza kuruka Kungfu kwa
ufanisi zaidi kuliko Jackie Chan, ni hatari sana
kwa mtu yoyote kupinga kuwa wewe si MZURI
au wewe si PEDESHE wa kutisha au kupinga
BUSARA zako ukifikia hatua hii. Mara nyingi
ukiendelea na ulevi baada ya hapa unaingia
katika hatua ya kuwa na uwezo wa *UCHAWI wa
kuweza kutokuoneka. Hapa unaweza kuwa na
uwezo wa kukojoa chini ya meza katikati ya baa
na hakuna mtu anakuona, yaani hapa unaweza
kuanza kuvua nguo moja moja na watu
hawakuoni kabisa.
 
Ha ha ha ha,ngoja walevi wake wathibitishe hayo unayosema
 
Ningekuwa mkurugenzi wa kipindi cha Churchil show ningekualika uje kutoa stori hii ukumbini.
 
Back
Top Bottom