Mlianza kufunga comment kwenye page ya rais; sasa kila idara, mnakuja kwenye mahakama

mahakama zilishakufa hakuna mahakama hapo bongo hata Rostam alishawahi kuwaambia live wakawakaaaaaa baadaye wakatulia tuliiiiiii, kungekuwa na mahakama wale mafisadi papa wooote wangepewa viti vya mbele sikuile ya kuchangia kijani? aibu naona mimi,SHAME.
 
Shiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais. Mitano inamtosha luhaga mpinga kuliletea maendeleo taifa letu. ACT WAZALENDO tunakwenda na LUHAGA.
 
Shiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais. Mitano inamtosha luhaga mpinga kuliletea maendeleo taifa letu. ACT WAZALENDO tunakwenda na LUHAGA.
Toa uchafu wako kwanza.Bila NRNR uchaguzi hakuna acha kutembea na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…