Ni watu waovu sanaUmenena, ndio maana JPM alitaka kukomesha hao wanaokwamisha maendeleo, ila wakamuwahi.
Ni watu waovuUmenena, ndio maana JPM alitaka kukomesha hao wanaokwamisha maendeleo, ila wakamuwahi.
Na vilikopelekwa wao ilikuaje ? Unajua historia ya ubinafsishwaji wa viwanda ni sera yao iliyokuja kuokoa viwanda na walivigawa na vingine kuuzwa Kwa bei sawa na bure, china alikua na ujamaa, urusi alikua na ujamaa, vietnam alikuaena ujamaa wao mbona viwanda havikufaKufa kwa viwanda hivyo kulitokana na kufeli kwa sera ya ujamaa uliokuwa ukitegemea kilimo. Baada ya bei ya mazao ya kilimo kuanguka katika soko la dunia, fedha za kuendesha viwanda hivyo ilikosekana na hiyvo kufa.
Na vilikopelekwa wao ilikuaje ? Unajua historia ya ubinafsishwaji wa viwanda ni sera yao iliyokuja kuokoa viwanda na walivigawa na vingine kuuzwa Kwa bei sawa na bure, china alikua na ujamaa, urusi alikua na ujamaa, vietnam alikuaena ujamaa wao mbona viwanda havikufa