Mlijifanya wageni Mkataka kukagua uwanja na kufanya Mazoezi ya Mwisho. Haya sasa endeleeni kuwa wageni katafuteni uwanja wenu

Mkoba Jnr

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
9
Reaction score
19
Malipo ni hapa hapa. Haya ni Matokeo ya Uhuni Mlioufanya Tarehe 8 March hakuna tena Kwa Mkapa hatoki Mtu.

Nendeni Burundi huko Mkacheze na Mashabiki Wasiozidi hata Mia moja Kudadadeki.
 
Malipo ni Hapa Hapa. Haya ni Matokeo Ya Uhuni Mlioufanya Tarehe 8 March Hakuna Tena Kwa Mkapa Hatoki Mtu Nendeni Burundi Huko Mkacheze na Mashabiki Wasiozidi hata Mia moja Kudadadeki.
Nyie ndio mmeuharibu uwanja kwa kuweka maushirikina yenu,Simba inahusikaje na uwanja mliushikilia nyie?
 
Si wanaweza kucheza Azam complex!?
Anyway kwa ninavyowajua Simba wanaweza kuwagomea caf na mechi ikasogezwa mbele Simba shida moja
Wangeanza kugoma walipozuiliwa kuingiza mashabiki uwanjani. Unadhani kule kuna kuitana kamati ya masaa 72 ili kutengua kanuni
 
Malipo ni hapa hapa. Haya ni Matokeo ya Uhuni Mlioufanya Tarehe 8 March hakuna tena Kwa Mkapa hatoki Mtu.

Nendeni Burundi huko Mkacheze na Mashabiki Wasiozidi hata Mia moja Kudadadeki.
Pumbavu Hawa wagone kucheza mechi waone
 
Malipo ni hapa hapa. Haya ni Matokeo ya Uhuni Mlioufanya Tarehe 8 March hakuna tena Kwa Mkapa hatoki Mtu.

Nendeni Burundi huko Mkacheze na Mashabiki Wasiozidi hata Mia moja Kudadadeki.
Hakuna shida nyie Yanga mtatumia uwanja upi klabu bingwa Afrika robo fainali??
 
Kuna uwezekano mkubwa wa ulichokiandika hukijui, ni ngumu sana kuelewa SIASA za Simba na Yanga katika history ya kususiana mechi!📌
 
Malipo ni hapa hapa. Haya ni Matokeo ya Uhuni Mlioufanya Tarehe 8 March hakuna tena Kwa Mkapa hatoki Mtu.

Nendeni Burundi huko Mkacheze na Mashabiki Wasiozidi hata Mia moja Kudadadeki.
Tutacheza hapo hapo Mkapa na kiherehere cha kitakuisha
 
Malipo ni hapa hapa. Haya ni Matokeo ya Uhuni Mlioufanya Tarehe 8 March hakuna tena Kwa Mkapa hatoki Mtu.
Nendeni Burundi huko Mkacheze na Mashabiki Wasiozidi hata Mia moja Kudadadeki.
Utafunguliwa tarehe 27 March. Hata mechi iliyoahirishwa itachezwa hapo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…