figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
dah!..umenikumbusha mbali. Ngoja nitafute notebook yangu aisee. miaAcha tu mkuu.Afu nilikuwa kiongozi wa starehe hapo shuleni,basi kila mwanzo wa mwezi lazima nikaongee na uongozi wa starehe wa shule ya Wavulana hapo mjini.Yani ni full burudani,full kujiachia.Mkimaliza disko saa 8 usiku,mshapeana mpaka contact.Ila BOARDING SCHOOL raha sana.
Huduma ya kimwili...mapenzi'huduma' ipi unamaanisha mkuu? ya posta?
Shule yetu ilikuwa ya walokole tupu, tulipendelea huduma za kiroho sana!
Tulisifu na kuabudu kwa sana!
Huduma ya kimwili...mapenzi
mimi nlikuwa siingiagi disko.