johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ccm Ni Janga Nchi HiiKHA! mi sichangii chochote nimechokatu
Kinapa wanafeli sana!Ccm Ni Janga Nchi Hii
Mwekezaji Awekeze Nini Wakati KINAPA Ipo
Mtoa mada haifahamu hata hiyo KINAPA.....Ccm Ni Janga Nchi Hii
Mwekezaji Awekeze Nini Wakati KINAPA Ipo
Pia ikumbukwe, mikakati ya kuua kiuchumi mikoa ya Kaskazini ilichangia hasa awamu ya Tano. Mikoa ya Arusha,Manyara na Kilimanjaro ilipangiwa Wakuu wa Mikoa wasio wabunifu,. Hadi leo,ni yaleyale. Tukumbuke Mrisho Gambo, A Mnyeti, na sasa kina Makongoro. na wengine.Ccm Ni Janga Nchi Hii
Mwekezaji Awekeze Nini Wakati KINAPA Ipo
Wameanza na Tanganyika kumweka rais mwekezaji toka nchi jirani maana Zenji mtanganyika haruhusiwi kujenga Wakimaliza wataleta rais toka Oman ndio uwekezaji wa ccm huo BaptistAkili za kiccm zimekaa kimakalio makalio sana,haya hata Mahakama na jeshi la Polisi nazo zitafutiwe mwekezaji kwani utendaji wao uko chini ya kiwango kabisa
Hahahaaaa....... hahahaaaa...... Nimefurahi kukuona bibie!Kwanini wewe usiende ukawekeza kama umeiona fursa hapo? Au kwanini wewe usitafute mwekezaji ungoje wengine wafanye?
Unaiona keki ipo juu ya meza nyumbani kwako, unasema "tafuteniwatu waje wajikatie wachukue mapande wale"! Si uanze wewe kujikatia hiyo keki a ile yote. khaa! mawazo mengine ya kijuha sana.
Huo ndio uvivu wenyewe wa kifikra na kivitendo.
Kama ulikuwa huelewi watu wanawekeza kila namna huko, kila wanaoiona fursa na wasio na uvivu kama ulionao wamewekeza huko na wanaendelea kuwekeza, wewe baki na "atafutwe mwekezaji". Nani akutafutie mwekezaji?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hahahaaaa....... Kumbe!Upuuzi mtupu, sijui watu wengine tunaamkia kula maharagwe ya wapi,