Mlima Kilimanjaro utafutiwe Mwekezaji ili mapato yaongezeke

Mlima Kilimanjaro utafutiwe Mwekezaji ili mapato yaongezeke

Kwa sasa Mlima Kilimanjaro ni kama unapeform chini ya kiwango kwa sababu mapato yanayopatikana kwa mwaka hayaendani kabisa na hadhi ya mlima huo duniani

Ni vema akatafutwa mwekezaji mwenye uzoefu akaja kutuendeshea mlima huu mrefu kabisa barani Afrika na duniani pia.

Maendeleo hayana vyama!
Hapo angeweza marehemu Mengi hawa wengine sidhani
 
Aiseee hatari hii baada ya kujaribu kuuza mbuga zote mnawaza na kuuza mlima
 
Back
Top Bottom