Mpambania Kombe
New Member
- Oct 23, 2024
- 3
- 0
Habari Wakuu
Moja kwa moja kwenye mada kuu, Inawezekana na wewe ni mmoja wa wale raia ambao kama walevi hivi unapiga hatua tano mbele unarudi saba, Unasema naacha kabisa kupiga hii kitu inaitwa masturbation unatoboa siku ya kwanza ya pili fresh siku ya tatu tu kitu, pengine hata mwezi kabisa ila unashangaa tu umerudi tena mchezoni na tena unajisemea mwenyewe kwamba si nimetoboa mwezi mzima wacha nijipongeze siku moja tu ila unajikuta inakuwa siku mbili siku tatu na kuendelea sasa wadau kama hao nimekuja na namna ya kusaidiana kwa pamoja kuepuka huu ushubwada
Ni hivi, hii kitu kwa kawaida inahitaji kichocheo hadi kufikia kitendo cha kuipiga na pia inaanzia na mawazo kichwani mawazo yanakuwa katika mfumo wa hivyo vichocheo mfano wa vichocheo ni kama kutazama picha za warembo wenye maumbile makubwa na taratibu unajikuta unaenda kutazama video kabisa za wakubwa na hapo ndipo mtu anaona ili aache kutizama video hizo kwa wakati huo ni hadi afike mlimani na ndipo hujikuta anapiga masturbation na baada ya hapo ni kujutia na kujiapiza kutokurudia na cycle inaendelea, hapo unaweza kuhisi kama nimekuongelea wewe hivi ila amini watu wengi wanapitia hali hii na vitu kama hivi mtu anaona ni aibu kuviongea kwa uwazi ila hapa sasa tunaweza kuongea na kusema yote maana hatujuani
Sasa wakubwa mambo hayo sana sana hutokea mishale ya ngoma tano sita hadi saba hivi hapo ndipo akili huenda resi sana na sauti mbili zinashindana kwelikweli na hiyo ndo mida haswa mahususi ya uzi huu, tukutane hapa mida hiyo kila siku kupeana moyo, kuonyana na kusaidiana kwa pamoja mida hiyo ili tusijikute tunaendeleza cycle hii ambayo sio nzuri na isiyo na manufaa kwa tulio wengi, Umoja ni Nguvu in God we trust Let's Go