Mlimani City Dar: Nahisi kama maigizo na utapeli vimetamalaki

Hapa ukikaa unaweza kudhani watu wapo serious na maisha kumbe maigizo tu na vikao vingi hapa vimekaa kitapeli tapeli

Watu wawili ama watatu wanakaa kwenye moja ya coffee shops na mmoja anafungua laptop ama anashika notebook na pen

Ukitazama walivo serious ni kama kikao kizito cha biashara kubwa

Lakini kikao kinavoendelea unaona hakuna kinachosomwa kutoka kwenye laptop na hakuna kinachoandikwa kwenye notebook

And then mazungumzo unayosikia ni ya biashara ya Tzs 2 mil. ama ikizidi sana utasikia Tzs 7 mil.

Na broken english ya hapa na pale iliyotawaliwa na kiswahili kingi zaidi...like like nyingiiiiiii

Mji umejaa sanaa mingi sana huu, God have mercy🙌🙌
Wengi wanachuo hao
 
Hao ni wanafunzi wa chuo Kikuu pale Mlimani ambao wako so fake maishani.
 
Sio kweli last time nilikua hapo December na tulikua tunazungumza biashara ya milioni 200.

Ya Zimbabwe lakini.
 
Hapa ukikaa unaweza kudhani watu wapo serious na maisha kumbe maigizo tu na vikao vingi hapa vimekaa kitapeli tapeli

Watu wawili ama watatu wanakaa kwenye moja ya coffee shops na mmoja anafungua laptop ama anashika notebook na pen

Ukitazama walivo serious ni kama kikao kizito cha biashara kubwa

Lakini kikao kinavoendelea unaona hakuna kinachosomwa kutoka kwenye laptop na hakuna kinachoandikwa kwenye notebook

And then mazungumzo unayosikia ni ya biashara ya Tzs 2 mil. ama ikizidi sana utasikia Tzs 7 mil.

Na broken english ya hapa na pale iliyotawaliwa na kiswahili kingi zaidi...like like nyingiiiiiii

Mji umejaa sanaa mingi sana huu, God have mercy[emoji119][emoji119]

God should have mercy upon you unayefuatilia maisha ya watu[emoji28]
 
Back
Top Bottom