Mlimani Primary School

Mlimani Primary School

Hiyo Mlimani Primary School iko Mkoa na Wilaya gani hapa Tanzania? Maana hata mimi niliwahi kusoma Mlimani Primary School iliyopo Tarafa ya Mang'ula, Wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro miaka ya mwishoni mwa 80 kabla ya kuhama nikiwa darasa la pili!
Shkamoo kaka
 
hata mimi nimeshangaa.. nimemaliza la 7 mwaka 2000.. now nipo around 30s nimezaa mapema tu. ila mwanangu hata la 3 hajafika.. niliwaza huyu aliemaliza miaka miwili mbele yangu.. ana mtoto kamaliza la saba , tena sio yeye peke yake na classmate wake ana mtoto kamaliza la saba nikajua chai tu
JF raha sana ukisoma, thread za watu mstari kwa mstari. hahahahah
 
First of all.let me.declare interest, Mimi NI Alumni wa Mlimani Primary School, a class of 1998.

Mpaka.nimejilaumu kwanini sikumpeleka binti yangu at Mlimani Primary School ( Na yeye kamaliza darasa la Saba kwenye Shule.moja ya English Medium)

Hongera mkuu. Ulimaliza darasa la saba mwaka 1998, na tayari una mtoto ameshamaliza darasa la saba. Hongera sana
Hahahaaaaaaaa hapoo n ubora tu wamananii kama.walikula.machips wangesikia KWAwenzaon WATOTO
 
MAMAM MNDOLWA ANAENDELEAJE JAMAN NAMMISI MAMA YANGU NA MWL.ELIÀ ....
 
NILISOMA.PALE MPAKA LATANO NIKAHAMIA FORODHANI PRIMARY SCHOOL LY "92"
 
Kuna mdada alisoma shule za hela, mimi nimesoma shule ya serikali,
akiwa anaongea english mpaka nilikuwa najistkia muda mwingine.
Tulikuta kidato cha kwanza, akiwa anaongea kingeleza mpaka nikawa naogopa.
Mtihani umefika, ule wa kidato cha pili, masikini hata haonekani, amefeli vibaya sana.
Kumbe ni kingeleza cha kuongea tu, lakini mambo mengine namzidi mno

Tumetengeneza wapiga porojo. Kusoma kwetu bado tunakosea. Tunafeli. Sijui wapi na kwanini. Kiingereza sio kinampa mtu usomi. Ila ni msaada sana kwenye dunia inayochukua kila awaye
 
St kayumba wana kitu kinaitwa content kwa maana ya kwamba anaweza akawa hajui hicho kiingereza lakini ukimwambia chora ramani ya Tanzania akaķuchorea vizuri tena bila wasiwasi kitu ambacho watoto wa english media wenyewe hawana ila wanakomaa na kujua lugha only.

Halafu wanaishia kuwa wapiga porojo
 
NIMEPITA WAMEIBADILISHA SANA NAHISI HATA BEI ZAKE MWENDO WA PRIV NA KULE NYUMA WANA PLAN KUWEKA SEC SOON NA WANAOTOKA PALE PRIORITY KUZAMA SEC YAO INAPENDEZA SANA...,..
 
Kabisa aisee tunapoteza mamilioni ya pesa na kujipa stress bure
Inategemea mtoto unamwandaa a compete kimataifa au locally.Kila mzazi ana malengo Tofauti na mwanae hayako uniform Kama sare za Shule.Wewe peleka mlimani au Shule ya kata na usimpigie yowe huyo mwingine anayepeleka English medium.Kila mzazi a mind her or his own bussiness
 
Sawa ccm
 
hata mimi nimeshangaa.. nimemaliza la 7 mwaka 2000.. now nipo around 30s nimezaa mapema tu. ila mwanangu hata la 3 hajafika.. niliwaza huyu aliemaliza miaka miwili mbele yangu.. ana mtoto kamaliza la saba , tena sio yeye peke yake na classmate wake ana mtoto kamaliza la saba nikajua chai tu
La Saba nilikuwa na.miaka 12/13. Dogo kazaliwa 2007 nikiwa nna miaka 21/22. .

Kaanza la kwanza mwaka 2013 akiwa na.miaka 6. So kamaliza mwaka huu akiwa na miaka 12

Kuhusu classmate kuwa na.mtoto mkuu tulio soma.miaka ya tisini tulisoma.na watu wazima. Enzi hizo..mtu kumaliza la Saba na.miaka 17,20,22 ilikuwa kawaida Sana.
Kuna classmate wetu alimpaga demu mimba mwaka 95 tukiwa darasa la nne and he was around 18 to 22
 
S
NIMEPITA WAMEIBADILISHA SANA NAHISI HATA BEI ZAKE MWENDO WA PRIV NA KULE NYUMA WANA PLAN KUWEKA SEC SOON NA WANAOTOKA PALE PRIORITY KUZAMA SEC YAO INAPENDEZA SANA...,..
Wana walezi na wafadhili wengi. Dr. Asha Rose Migiro is one of them. Some of their teachers are graduates. Now Wana school bus pia. Hakuna gharama. Kupata nafasi ndio changamoto.
 
First of all.let me.declare interest, Mimi NI Alumni wa Mlimani Primary School, a class of 1998.

Mpaka.nimejilaumu kwanini sikumpeleka binti yangu at Mlimani Primary School ( Na yeye kamaliza darasa la Saba kwenye Shule.moja ya English Medium)

Hongera mkuu. Ulimaliza darasa la saba mwaka 1998, na tayari una mtoto ameshamaliza darasa la saba. Hongera sana
[emoji23][emoji23][emoji23] NAKWEDE kwani ni ajabu? Mimi nimemaliza early 2000s na kama ningekuwa nimezaa mapema basi isingekuwa ajabu kuwa na mtoto aliyemaliza la saba
 
Back
Top Bottom