Mlimani Primary School

Hiyo Mlimani Primary School iko Mkoa na Wilaya gani hapa Tanzania? Maana hata mimi niliwahi kusoma Mlimani Primary School iliyopo Tarafa ya Mang'ula, Wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro miaka ya mwishoni mwa 80 kabla ya kuhama nikiwa darasa la pili!
Shkamoo kaka
 
JF raha sana ukisoma, thread za watu mstari kwa mstari. hahahahah
 
Kumbe humu kuna Shikamoo nyingi sana ha ha
 
Hahahaaaaaaaa hapoo n ubora tu wamananii kama.walikula.machips wangesikia KWAwenzaon WATOTO
 
MAMAM MNDOLWA ANAENDELEAJE JAMAN NAMMISI MAMA YANGU NA MWL.ELIÀ ....
 
NILISOMA.PALE MPAKA LATANO NIKAHAMIA FORODHANI PRIMARY SCHOOL LY "92"
 

Tumetengeneza wapiga porojo. Kusoma kwetu bado tunakosea. Tunafeli. Sijui wapi na kwanini. Kiingereza sio kinampa mtu usomi. Ila ni msaada sana kwenye dunia inayochukua kila awaye
 

Halafu wanaishia kuwa wapiga porojo
 
NIMEPITA WAMEIBADILISHA SANA NAHISI HATA BEI ZAKE MWENDO WA PRIV NA KULE NYUMA WANA PLAN KUWEKA SEC SOON NA WANAOTOKA PALE PRIORITY KUZAMA SEC YAO INAPENDEZA SANA...,..
 
Kabisa aisee tunapoteza mamilioni ya pesa na kujipa stress bure
Inategemea mtoto unamwandaa a compete kimataifa au locally.Kila mzazi ana malengo Tofauti na mwanae hayako uniform Kama sare za Shule.Wewe peleka mlimani au Shule ya kata na usimpigie yowe huyo mwingine anayepeleka English medium.Kila mzazi a mind her or his own bussiness
 
Sawa ccm
 
La Saba nilikuwa na.miaka 12/13. Dogo kazaliwa 2007 nikiwa nna miaka 21/22. .

Kaanza la kwanza mwaka 2013 akiwa na.miaka 6. So kamaliza mwaka huu akiwa na miaka 12


Kuhusu classmate kuwa na.mtoto mkuu tulio soma.miaka ya tisini tulisoma.na watu wazima. Enzi hizo..mtu kumaliza la Saba na.miaka 17,20,22 ilikuwa kawaida Sana.
Kuna classmate wetu alimpaga demu mimba mwaka 95 tukiwa darasa la nne and he was around 18 to 22
 
S
NIMEPITA WAMEIBADILISHA SANA NAHISI HATA BEI ZAKE MWENDO WA PRIV NA KULE NYUMA WANA PLAN KUWEKA SEC SOON NA WANAOTOKA PALE PRIORITY KUZAMA SEC YAO INAPENDEZA SANA...,..
Wana walezi na wafadhili wengi. Dr. Asha Rose Migiro is one of them. Some of their teachers are graduates. Now Wana school bus pia. Hakuna gharama. Kupata nafasi ndio changamoto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] NAKWEDE kwani ni ajabu? Mimi nimemaliza early 2000s na kama ningekuwa nimezaa mapema basi isingekuwa ajabu kuwa na mtoto aliyemaliza la saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…