Mlimani Primary School

[emoji23][emoji23][emoji23] NAKWEDE kwani ni ajabu? Mimi nimemaliza early 2000s na kama ningekuwa nimezaa mapema basi isingekuwa ajabu kuwa na mtoto aliyemaliza la saba
Sa hivi mtoto ana umri gani
 
Kwa unandishi huo baki na shule yako Mlimani Praimary skuli
 
Huo mwaka 1998 aliosemea mkuu ni kweli kabisa maana kulikua na wasichana wawili waliojifungua na wavulana wanne waliotia mimba mabinti huko mtaani kwao,hawa ni baadhi ya niliowafahamu mimi.Kuna mabinti wawili walijifungua pindi wako form one 1999 pia.
 
Ntakuwa nakujua hukuwa unashiriki Tamasha chuo kikuu wewe?Enzi za "[emoji443][emoji444][emoji445]kidea kidekide ailavu yu nakupenda"[emoji445][emoji444][emoji443]
 
Mtoto wa mtu unamuita toto unachuki nao au?
 
Hiyo Mlimani Primary School iko Mkoa na Wilaya gani hapa Tanzania? Maana hata mimi niliwahi kusoma Mlimani Primary School iliyopo Tarafa ya Mang'ula, Wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro miaka ya mwishoni mwa 80 kabla ya kuhama nikiwa darasa la pili!
Hakuna utaratibu wa shule 2 kutumia jina moja. Hakuna Mlimani Primary School mbili
 
Mzee mzima hii ni chai kuwa ulimaliza la saba na miaka 12 wadanganye wajinngga wenzio
 
Ha
hahhaaaaa😂😂😂😂
 
Hakuna utaratibu wa shule 2 kutumia jina moja. Hakuna Mlimani Primary School mbili

Mhhhh! aliyekudanganya nani huyo? Labda kwa upande wa sekondari. Ila ukija primary, majina kujirudia ni jambo la kawaida sana. Mfano wa hayo majina ni hilo la Mlimani, Mshikamano, Muungano, Uhuru, Mapinduzi, nk.
 
Nipo hapo toka mwaka 92
Hao nimekutajia hapo walitangulia mbele za haki kabla ya 1998,i thought you'd have known.....mmoja wapo alitangulia mbele za haki 2000.May their soul R.I.P
NB:Nina wasiwasi na mwaka uliomalizia darasa la saba pale kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…