M muta ngegi Senior Member Joined Sep 7, 2016 Posts 194 Reaction score 165 Oct 24, 2026 #1 Salaam wanajamii forum! Nilipanda mti huu wa mlimao(Tazameni Pichani),lakini tangu nimeupanda haukui sana na upo katika hali hii(Pichani). Wataalam naombeni kujua shida yake ni nini? Attachments IMG_20260831_084212_035.jpg 951.7 KB · Views: 9
Salaam wanajamii forum! Nilipanda mti huu wa mlimao(Tazameni Pichani),lakini tangu nimeupanda haukui sana na upo katika hali hii(Pichani). Wataalam naombeni kujua shida yake ni nini?
C CRYPT JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 392 Reaction score 841 Oct 24, 2026 #2 Mkuu wakati tukiwasubiri wataalam waje nikuulize yafuatayo, umeupanda mwaka gani? Unaupa huduma zipi? Mche umewahi kukumbwa majanga kama moto nk? maana kwa kuangalia haraka haraka naona mlimao uliokosa matunzo.
Mkuu wakati tukiwasubiri wataalam waje nikuulize yafuatayo, umeupanda mwaka gani? Unaupa huduma zipi? Mche umewahi kukumbwa majanga kama moto nk? maana kwa kuangalia haraka haraka naona mlimao uliokosa matunzo.
M Mkono Mmoja JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 4,994 Reaction score 9,625 Oct 28, 2026 #3 utoe kivuli, mmea ukikosa mwanga wa jua hudumaa. upatie maji ya kutosha na upige dawa za kuua wadudu na kuzuia ukungu.
utoe kivuli, mmea ukikosa mwanga wa jua hudumaa. upatie maji ya kutosha na upige dawa za kuua wadudu na kuzuia ukungu.
M muta ngegi Senior Member Joined Sep 7, 2016 Posts 194 Reaction score 165 Oct 29, 2026 Thread starter #4 Mkono Mmoja said: utoe kivuli, mmea ukikosa mwanga wa jua hudumaa. upatie maji ya kutosha na upige dawa za kuua wadudu na kuzuia ukungu. Click to expand... Nashukuru sana Kiongozi,tafanya hivo
Mkono Mmoja said: utoe kivuli, mmea ukikosa mwanga wa jua hudumaa. upatie maji ya kutosha na upige dawa za kuua wadudu na kuzuia ukungu. Click to expand... Nashukuru sana Kiongozi,tafanya hivo