Mrembo wa Ilala 2010 ambaye pia ni Balozi wa gazeti la HABARILEO, Bahati Chando (wa pili kulia) pamoja na wageni mbalimbali aliofuatana nao wakipamba mti wa Krismasi na watoto wa Kituo cha Loveness ikiwa ni ishara ya kusherehekea nao kwenye kituo hicho. (Picha na Fadhili Akida).
Tuseme ule ukweli hivi hapo kapanda mti wa X-Mas au kabandika mti wa kiwandani.............nijuavyo mimi mti wa X-Mas kuupanda yabidi uwe hai na wapumua.........na huu kweli upo hai?