Mlimtweza na kumdhihaki kisha mkadhani mtaila nchi kumbe nchi inawala

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni kuvimbiwa.

Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi, ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.

Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tanzania aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.

Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya waliokwishalala mauti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao.

Sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tanzania na kutuachia kiduchu, je, tungekuta hii gesi, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?

Bwana uturehemu.
 
"Maisha ya mwanadamu ni hadithi, ewe ndugu yangu basi kuwa hadithi nzuri itakayosimuliwa na vizazi baadae, mimi sitaki niondoke huku niache aibu nyuma yangu..."

Nukuu ya Mzee Mwinyi Ikulu

Bila kujali nini kinatokea nani anakuja na anafanya, vile ulivyoishi ndivyo utavyoelezewa. Ukiwa na ubaya mwingi ubaya wako utazungumziwa zaidi

mpaka leo tunawasikia akina Hitler kwa mabaya yake mengi
 
Hamkujua kile kipo ktk kitabu hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki tuite makongamano tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya Tumbo ni kuvimbiwa.

Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.

Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tz aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.

Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya walio kwisha lala mauiti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tz nakutuachia kiduchu je tungekuta hii gas, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?
Bwana uturehemu
Hapo kwenye Bwana uturehemu sijaelewa
 
Tatizo la nchi hii siyo watu fulani au mtu.
Tatizo kubwa ni ccm. Organize to defeat ccm otherwise you are fighting to climb down!
 
Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni kuvimbiwa.

Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi, ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.

Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tanzania aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.

Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya waliokwishalala mauti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao.

Sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tanzania na kutuachia kiduchu, je, tungekuta hii gesi, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?

Bwana uturehemu.
Imagine mtu anajiona shujaa kwa kupambana na mtu aliyefariki lakini wakati akiwa hai alinywea!
Ushujaa gani huu wa kusubiri mbabe wako afariki ndio utambe? Au ndio ile kanuni iliyomtoa Simba Bob Jr duniani pale Serengeti?
 
Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni kuvimbiwa.

Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi, ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.

Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tanzania aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.

Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya waliokwishalala mauti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao.

Sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tanzania na kutuachia kiduchu, je, tungekuta hii gesi, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?

Bwana uturehemu.
Mkuu wewe ni lile dude linaitwa dinosaur, lililokufa miaka ya kale.
Magufuli elewa kuwa hayupo, HAYUPO, na hatarudi!
Kama ulifaidika wakati wake elewa sasa kuna Awamu ya Sita na infanya kazi vizuri sana!
 
Tumia hata kalio kufikiri kama kichwa umekalia.
 
Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni kuvimbiwa.

Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi, ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.

Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tanzania aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.

Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya waliokwishalala mauti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao.

Sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tanzania na kutuachia kiduchu, je, tungekuta hii gesi, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?

Bwana uturehemu.
Siku hizi mumeacha kutishia watu umeamua kulia hata wewe
 
Kuna waliodhani kuwa wao wataishi na pia kutawala milele....can you tell us what's the score?
 
Damu ya Ben Saanane itakutesa sana.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama unaaandika thread hii ku justify matendo maovu ya Magufuli ujue unaandika pumba tupu. Tumekwishatoka huko tunaangalia sera zingine. Huyo Magufuli wenu tumemzika Chato na hafufuki tena kamwe
 
Mimi naona kikwete anapaswa aridhike sasa.

Maana awamu hii almost kila mwenye uhusiano nae anarudi Serikalini??

Huwa najiuliza huyu mzee anafikiria nini maana labda kwa mawazo yake ataishi milele na Tanzania ni mali yake binafsi yeye na familia yake na marafiki zake.
 
Back
Top Bottom