Hapo kwenye Bwana uturehemu sijaelewaHamkujua kile kipo ktk kitabu hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki tuite makongamano tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya Tumbo ni kuvimbiwa.
Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.
Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tz aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.
Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya walio kwisha lala mauiti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tz nakutuachia kiduchu je tungekuta hii gas, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?
Bwana uturehemu
Tatizo la nchi hii siyo watu fulani au mtu.Hamkujua kile kipo ktk kitabu hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki tuite makongamano tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya Tumbo ni kuvimbiwa.
Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.
Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tz aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.
Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya walio kwisha lala mauiti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tz nakutuachia kiduchu je tungekuta hii gas, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?
Bwana uturehemu
Imagine mtu anajiona shujaa kwa kupambana na mtu aliyefariki lakini wakati akiwa hai alinywea!Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni kuvimbiwa.
Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi, ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.
Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tanzania aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.
Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya waliokwishalala mauti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao.
Sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tanzania na kutuachia kiduchu, je, tungekuta hii gesi, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?
Bwana uturehemu.
Mkuu wewe ni lile dude linaitwa dinosaur, lililokufa miaka ya kale.Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni kuvimbiwa.
Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi, ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.
Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tanzania aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.
Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya waliokwishalala mauti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao.
Sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tanzania na kutuachia kiduchu, je, tungekuta hii gesi, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?
Bwana uturehemu.
Mkuu wewe ni lile dude linaitwa dinosaur, lililokufa miaka ya kale.
Magufuli elewa kuwa hayupo, HAYUPO, na hatarudi!
Kama ulifaidika wakati wake elewa sasa kuna Awamu ya Sita na infanya kazi vizuri sana!
Hivi mwendazake wako alikuwa akitumia kalio kufikiri?Tumia hata kalio kufikiri kama kichwa umekalia.
Siku hizi mumeacha kutishia watu umeamua kulia hata weweHamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni kuvimbiwa.
Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi, ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.
Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tanzania aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.
Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya waliokwishalala mauti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao.
Sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tanzania na kutuachia kiduchu, je, tungekuta hii gesi, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?
Bwana uturehemu.
Kuna waliodhani kuwa wao wataishi na pia kutawala milele....can you tell us what's the score?Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni kuvimbiwa.
Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi, ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.
Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tanzania aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.
Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya waliokwishalala mauti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao.
Sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tanzania na kutuachia kiduchu, je, tungekuta hii gesi, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?
Bwana uturehemu.
Damu ya Ben Saanane itakutesa sana.Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni kuvimbiwa.
Leo mnatoka usingizi nakujua kumbe sio kuila nchi, ila sasa nchi inawala mkiona kwa macho yenu.
Sasa mnakumbuka maneno ya mtawala wa kwanza wa Tanzania aliyosema mkiona mtu anapakimbilia Ikulu mtafakarini.
Mungu ibatiki Tanzania tusamehe kama tulinuwia kwa ubaya juu ya waliokwishalala mauti tusamehe maana shida yetu sio mtu ila ugomvi wa sahani ya cake ambapo wachache wanatamani sahani hiyo kamwe isiwe urithi wa vizazi vijavyo ila vizazi vyao.
Sisi tunauliza ingekuwaje waasisi wa hili Taifa na wao wangejimegea cake ya mama Tanzania na kutuachia kiduchu, je, tungekuta hii gesi, madini na kila aina ya ukwasi ndani ya Taifa hili?
Bwana uturehemu.
Kama unaaandika thread hii ku justify matendo maovu ya Magufuli ujue unaandika pumba tupu. Tumekwishatoka huko tunaangalia sera zingine. Huyo Magufuli wenu tumemzika Chato na hafufuki tena kamweHamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni kuvimbiwa.