Mlinzi shujaa

Mlinzi shujaa

Joined
Mar 30, 2020
Posts
68
Reaction score
106
ni msanii wa sanaa za mapigano wa tanzania, mwandishi wa vitabu vya vita, usalama na afya, pia ni mkufunzi wa ngoo self defense nani muanzilishi wa mfumo huo wa ngoo - self defense system, alizaliwa ( 21/09/1985 ) katika mkoa wa kigoma wilaya ya kigoma mjini, kata ya busaidi kitongoji cha ujiji,mtaa wa machinjioni, karibu kabisa na ziwa tanganyika. Ni mtoto wa sita kuzaliwa kati ya wato kumi na mbili walio zaliwa na wazazi wake wa wawili yani baba na mama ambao ni, aziza yahaya ibrahim huyu ni mama yake mzazi na rajabu tofiki mlosi huyu ni baba yake mzazi, ndugu zake wa kuzaliwa ni, tofiki rajabu, salima rajabu, mwatumu rajabu, msemwa rajabu,yahaya rajabu, alafu ndio akazaliwa yeye issa rajabu / mlinzi shujaa, kisrha akazaliwa haruna rajabu, zaituni rajabu, muamadi rajabu,zuhura rajabu, saidi ali na hassani malilo hawa wa wili wa mwisho walichangia mama ila baba zao ni tofauti.
 

Attachments

  • Messenger_creation_2144170386504450.jpeg
    Messenger_creation_2144170386504450.jpeg
    251.3 KB · Views: 10
  • 20240714_164254.jpg
    20240714_164254.jpg
    279.8 KB · Views: 12
  • 20241022_161404.jpg
    20241022_161404.jpg
    324.1 KB · Views: 10
Bwa mlinzi umetaja ndugu zako wote , Ina maana hauna potential yoyote ambayo inaweza fanya makundi ya wahuni kuwateka ndugu zako Na kukushinikiza wewe utekeleze matakwa Yao Kwa kubadirishana Na ndugu waliotekwa?? Umefail sana
 
Bwa mlinzi umetaja ndugu zako wote , Ina maana hauna potential yoyote ambayo inaweza fanya makundi ya wahuni kuwateka ndugu zako Na kukushinikiza wewe utekeleze matakwa Yao Kwa kubadirishana Na ndugu waliotekwa?? Umefail sana
Hapana, nimewalinda, kwa sababu sijaweka picha zao wala wanapo ishi au wanapopatika . Hiyo kiulinzi ndio mbaya lakini majina , kwani kuna kina juma bakari wangapi tanzania. Sivibaya lengo lagu ni wanafunzi wangu na wadau wangu wafahamu mimi ni nani na asili yangu.
 
Back
Top Bottom