Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hahahahaaa🏫🥰🧑🔬👋🤐👋😡👍😜😃🤣😃😅😄🤣😙🤩😃🥰😗😅😄😅😔🧑🔬👍😡🤨😍👩🏻✈️🧑🔬🥴😍👇🧑🔬😔🧑🔬😔🧑🔬🔒🤐🥴🤬🧑🔬👩🏻✈️😮💨🔒😮💨😄🤐😴😡😜😮💨🥴😄Wakuu!
Mlinzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ajulikanaye kwa jina la Hassan Bwire, ameonekana akihudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo, Mei 19, 2025.
Wasira yupo wapi??Aibu hii.. jipeni muda kila kitu kitakuwa Sawa.
Bon yai shushushu ndani ya chama.
Mnyika niliongea na mbowe.
Muda utasema
Weka akiba ya maneno, mkuu. Huyu ni mwenyekiti mstaafu ujue.Probably Mbowe ni miongoni mwa Viongozi washenzi kuwahi kutokea CDM .
Probably!!
Mkuu, angalau kidogo siku za hivi karibuni unajitahidi kwa urefu wa komenti.Wameenda kumuandalia mfalme makao
Uroho wa madarakaWameenda kumuandalia mfalme makao
Huyo Mlinzi yuko wapi?Nimeanza kuamini Mbowe yupo nyuma ya haya matapeli
Ameonekana kweli siyo utaniHuyo Mlinzi yuko wapi?
Sawa. Ni mlinzi wake binafsi hakuwa muajiriwa wa CHADEMA! Pia kama atajiunga CHAUMA atakuwa anatumia haki yake ya kikatiba!Yuko wapi?
Sasa mlinzi si anatafuta rizik yake?Aibu hii.. jipeni muda kila kitu kitakuwa Sawa.
Bon yai shushushu ndani ya chama.
Mnyika niliongea na mbowe.
Muda utasema