JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemuhukumu Baraka Benedicto (23) kifungo cha Miaka 30 jela ikiwa ni baada ya kumtia hatiani kwa kosa la ulawiti.
Akisoma hukumu hiyo leo Machi 14, 2025, Hakimu Nabwike Mbaba amesema ushahidi ambao umetolewa kwenye kesi hiyo umetosha kumtia hatiani mshtakiwa huyo Baraka Benedict.
Alipopewa nafasi kuzungumza baada ya kusomewa hukumu hiyo amedai 'hakutenda kosa hilo', baada ya Mahakama kumsikiliza imesema kwamba mtuhumiwa ana nafasi ya kukata rufaa endapo atakuwa hajaridhishwa na uamuzi uliotolewa na Mahakama hiyo.
Kesi hiyo Namba Cc.5866 /2024 imeendeshwa Mahakamani hapo katika kipindi cha Mwaka mmoja tangu mshtakiwa Baraka Benedict alipofikishwa Mahakamani na kosomewa shtaka la ulawiti.
Ikumbukwe Februari 13, 2024, kwa mara ya kwanza Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Serikali imsaidie Mtoto huyu anayedaiwa kulawitiwa na Mlinzi katika Vyoo vya Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi, Sinza kisha suala lake kupigwa danadana na Vyombo vya Usalama.” Dkt. Gwajima D
Pia soma:
* Hukumu Kesi ya Mlinzi wa Kanisa (Sinza, Dar) anayedaiwa kumlawiti Mtoto kutolewa Machi 14, 2025
* Anayetuhumiwa kumlawiti mtoto katika Vyoo vya Kanisa - Sinza, asema “Sina lolote, naiachia Mahakama”
* Anayetuhumiwa kulawiti Mtoto kwenye Vyoo vya Kanisa ashindwa kutoa Ushahidi, adai anaumwa, kesi yaahirishwa hadi Machi 3, 2025
* Tukio la Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi, Padri asimulia kilichotokea
* Dar: Mlinzi wa Kanisa anayetuhumiwa kumlawiti Mtoto Muimba kwaya kwenye vyoo vya Parokia apandishwa kizimbani
* Madai ya Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kumlawiti Mwanafunzi, mama wa Mtoto aomba Serikali imsaidie
* Serikali imsaidie Mtoto huyu anayedaiwa kulawitiwa na Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza