Mlio karibu na Clemence Mwandambo mwambieni awe makini Hawa watu Wana roho mbaya

Halafu utakuta ni li broo Linamiaka 45 na kuendelea ila lioga kishenzi,sasa akiingia nyoka ndani si utahama uiache familia?
 
Nimeshamwonya mara nyingi pamoja na kumwita taahira lakini hanisikii! Mwache waje wapite naye! Nasikia tayari wamepita na Mzee Malisa yule wa ccm!
 
Nachoka mie baba yenuuu 😁😁😁
 

Nafikiri huyu anajua alipo mzee wetu mwandambo!
 
Aisee wameshapita nae serikali katili sana hii walaaniwe sana
 
Nasikia tayari huko yametimia ya kwenye onyo lako kwa Mwandambo.
Members wengine hapa ni kama wanawakumbusha hao wauaji ''mbona mnamwamchia fulani kukosoa serikali? Au mnamwogopa?''. Thread kama hii, mwanzilishi wake ni mtu mjinga asiyejua madhara ya kuandika mambo hovyo kwenye social media. Kama amekamatwa kweli basi huyu mwanzisha thread anastahili lawama kubwa. Wauaji wa CCM wanapenda sana kujionyesha kwa Samia kuwa ''wanafanya kazi yao'' hivyo post kama hii ya huyu bwege inaweza kuwafanya wamteke ili kuonekana kuwa wanafnya kazi.
 
Hapo nimekusoma mkuu.
Bora angemtafuta kwenye account zake za social media privately.
 
Sio kila mtu anakamatwa, umeona mashehe fake waliosema watakata waandamanaji vichwa, umesikia tamko au kukamatwa?
Wale mashehe wakata vichwa hakuna wa kuwakamata maana wamenunuliwa na kutumwa na wauaji, wenye mamlaka
 
Sio kila mtu anakamatwa, umeona mashehe fake waliosema watakata waandamanaji vichwa, umesikia tamko au kukamatwa?
Wale hawawezi kukamatwa wala kuchukuliwa hatua yoyote maana wametumwa na mamlaka.
 
Duh nimeona Facebook page ya mambo mambo katika tayari
Huyu mzee mimi nilimpuuza alipoanza kumtukana Mungu! Si alikuwa anasema Mungu hayupo na hana msaada wowote kwenye maisha yake! Sasa ngoja tuone nani atamwokoa huko! Wanadamu tunajisahau sana tunapofanikiwa kwenye maisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…