gabriel Heinze
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 512
- 685
Sawa umempuuza sio dhambi, tuonyeshe huyo unayesema yupo tukashitaki na kumuombea msamaha.Huyu mzee mimi nilimpuuza alipoanza kumtukana Mungu! Si alikuwa anasema Mungu hayupo na hana msaada wowote kwenye maisha yake! Sasa ngoja tuone nani atamwokoa huko! Wanadamu tunajisahau sana tunapofanikiwa kwenye maisha!