gabriel Heinze
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 512
- 685
Sawa umempuuza sio dhambi, tuonyeshe huyo unayesema yupo tukashitaki na kumuombea msamaha.Huyu mzee mimi nilimpuuza alipoanza kumtukana Mungu! Si alikuwa anasema Mungu hayupo na hana msaada wowote kwenye maisha yake! Sasa ngoja tuone nani atamwokoa huko! Wanadamu tunajisahau sana tunapofanikiwa kwenye maisha!
π€£Nachoka dume la mbegu secretarybird
Dah kwahiyo atoe maelezo ya kutosha alipo Mzee wetuNafikiri huyu anajua alipo mzee wetu mwandambo!
Kama umelaaniwa laana yako itakushinda π€£π€£π€£π€£π€£Natekwa mimi baba yenuπ
Yuko sahihi, Mungu hayupo na Hana msaada katika maisha.Huyu mzee mimi nilimpuuza alipoanza kumtukana Mungu! Si alikuwa anasema Mungu hayupo na hana msaada wowote kwenye maisha yake! Sasa ngoja tuone nani atamwokoa huko! Wanadamu tunajisahau sana tunapofanikiwa kwenye maisha!
Nimeshamwonya mara nyingi pamoja na kumwita taahira lakini hanisikii! Mwache waje wapite naye! Nasikia tayari wamepita na Mzee Malisa yule wa ccm!
Mungu angekuwepo, na mwenye Upendo na uwezo wote, asingeruhusu watu wake watekwe na kwenda au kuuwawaSawa umempuuza sio dhambi, tuonyeshe huyo unayesema yupo tukashitaki na kumuombea msamaha.
Tumepitishwa kwenye era ya ajabu sana! Ndiyo tukome kuwa tunaokotezaokoteza watawala!Na nimeona wameshamchukua π³π³
Tayari wameruka nae wanamshughulukia, Serikali yetu inataka tuwe kama North Korea Rais akitoka Chunusi nchi nzima tunaliaNimeshangazwa na MZEE wetu Clemence Mwandambo anavojiachia sana, anaiponda serikali halafu mara anaenda TRA kujiandikisha mambo ya Kodi, anajisema KABISA Yuko Mbeya na watu wanajua, hao jamaa wanamzoom TU ila napata mashaka sana watamdhuru, timu yangu ya ma CIA makachero wakujitegemea wamemuomba abadili life style kabla hajabadilishwa hao watu ni wanyama.
C.I.A PRIVATE KACHEROO
Tayari wamemteka, nadhani sasa mna furahaNimeshangazwa na MZEE wetu Clemence Mwandambo anavojiachia sana, anaiponda serikali halafu mara anaenda TRA kujiandikisha mambo ya Kodi, anajisema KABISA Yuko Mbeya na watu wanajua, hao jamaa wanamzoom TU ila napata mashaka sana watamdhuru, timu yangu ya ma CIA makachero wakujitegemea wamemuomba abadili life style kabla hajabadilishwa hao watu ni wanyama.
C.I.A PRIVATE KACHEROO
Ahahaha nakuja kukuokoa daddy.Natekwa mimi baba yenuπ
Aah kwakweli ni hatariTumepitishwa kwenye era ya ajabu sana! Ndiyo tukome kuwa tunaokotezaokoteza watawala!
Dah!! Inasemekana washapita nae...Samuya hachagui! Hata sisimizi anaua. Sasa kwa mfano yule kijana aliyechana picha yake kule Mbeya alikuwa na madhara gani?
Sahihi kabisa, wala hujakosea mkuu ππ€£
Au dume la nyani