Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

Kuna kile kinajiita Kidullvani kinanichefua kila nikiona video zake...kuchekesha hawezi analazimisha tuu yaan bora wote hao sio Dullvan
 
list yako ya kiwaki
unemuachaje
1.mc pilipili
2.ebitoke
3.mjeshi
nk.

kumweka hapo blackpassy haukufany fair.
 
NI KUGANGA TU NJAA WATAFANYAJE HUWA TUNAWACHEKA WASIVYOJUA KUCHEKESHA WAKAFIKRI WANAJUA KUCHEKESHA.ASKINI IDRISA ALIKUWA NA HELA AKAIMALIZIA KIUNONI KWENYE PAPUCHI NA CHOONI!!!!!
QUOTE="lost id, post: 26459534, member: 240130"]Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.

Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.

Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.

1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.

Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.

Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.

Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…