fute alexander
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 382
- 148
Ahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo black pussy ni yupi unaweza ukapata picha yake uweke hapa!!!!Kuna mtu anaitwa Black pussy? Dah!
Ha ha ha we mkuu utanitoa mbavuOngeza na Magufuli hapo
Jifunze kuandika vizuri kwanza.b dozen ajui nn
Mkuu hata mimi nimesoma kwenye list aliyo itoa mleta uzi nimebaki nashangaa tu mkuu wangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu huyo black pussy ni yupi unaweza ukapata picha yake uweke hapa!!!!
Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.
Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.
Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.
1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.
Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.
Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.
Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.
Mi nilikuja mbio nikadhani umeanza na mc pilipili!!Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.
Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.
Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.
1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.
Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.
Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.
Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.
Huko kushindwa kuchekesha ndo uchekeshaji wenyewe mkuu😛🙄🙄😉🙁🙂Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.
Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.
Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.
1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.
6. Mc Pilipili.
7. Jaymond.
8. Katarina wa Karatu.
9. Ebitoke.
Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.
Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.
Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.
Namba 5-9 ni updates toka kwa wadau.
Umeniangusha sana blackpass na blackpussy vinafanana? Pussy uchi wa mwanamke tu hata paka pia ni pussy.vyovyote itakavyoandikwa, lakini maana halisi ya black pussy ni "kalio jeusi", yeye mwenyewe ni mweusi automatically ana makalio meusi...hahaha, alafu anajitaja hilo jina.
Kweli tupo tofauti mi huyu mshikaji hakuna.kituMkali wenu is the best of all
Daaa you made my dayOngeza na Magufuli hapo