Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

Sijui ni Mimi au lakini I find dullivan has perfectly used IG for short film/ clip comed naamini ktk platform nyingine anaqeza kushindwa lakini hapo ktk IG naona kapatia plus yuko ktk Umri sahihi wa kukosea na kujifunza vitu vingi ktk kazi aliyoichagua. kuhusu hao wengine naona wakawaida sana .
 
cku hz hakuna vichekesho ila nitoke nje ya box kdg hv joh makini huwa anaimba nini yan? yan cjawah kumwelewa yule jamaa cha kushangaza eti arusha wanamkubali, apo ndo naamini kule bangi inalimwa kwa wingi, alie karibu nae aje nimpe shamba akalime tu
 
Nadhani waigizaji wetu wanashindwa kutofautisha umri, vichekesho vya watoto na wakubwa ni tofauti sana, ni rahisi sana kumchesha mtoto, ila mkubwa inabidi ujipange. Mi naona vichekesho vingi vya bongo ni kwa ajili ya watoto, hivyo wasanii waangalie namna ya kuchekesha wakubwa
 
Back
Top Bottom