Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro kiswahili kimekuwa kigumu hivi ????Tena nguvu kubwa mno,zaidi ya ile inayotumiwa na Geshi la Polish
Yani umetaja tu haya majina nimecheka,hapo mtoe mpoki naona bado kwenye uchekeshaji,ila hao wengine ni balaaIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.
Hahaaa,ni owasababu za kiusalama tu bro ila naamini umeng'amua jambo hapo!Bro kiswahili kimekuwa kigumu hivi ????
Kwasababu........ooopsHahaaa,ni owasababu za kiusalama tu bro ila naamini umeng'amua jambo hapo!
Kuna watu humu ilibidi wawe kwenye list ya wachekeshaji bora comment zao zinaniacha hoi [emoji23] [emoji23]Aisee mkali wenu" ni anatumia nguvu nyingi sanah,hadi mishipa ya shingo na uso inasimama.
Acha chuki binafsi mkuu...B DOZEN huyu anaeweza kuwa mtanfazi bora kabisa na anajitambua..hata maswali anayouliza sijaona anae weza kuliza kama yeye...Kuna mtangazaji mmoja wa Clouds anaitwa sijui nani, B Dozenakama sijakosea. Huyu hana kitu kabisa.
Huyuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ongeza na Magufuli hapo
evelyn kweli umeiona ?Sijui Kwanini jaymond juzi kaamua kuonesha mb000 yake, kweli kuchekesha watu ni kazi
senga , mkwere , muhogo mchungu1.majuto
2.braza k
3.joti
4.mpoki
Wasanii wetu wanajiita majina yasiyokuwa na maadili. Pussy ni uke kule ambako uume huingia pamoja na mashavu yake ya nje (ule mvimbo kama wa kitumbua)Aisee...
Umetumia Dictionary gani Chief..!?