Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly!! Acceleration ya Moloko aswa kwenye game kama hii ya Mtani uwa ina impact sana.Sanaaa, Especially Moloko na Morrison. Beki za simba zikawa busy shabalala hapandi kabisa.
Mchezaji mwenye Kasi lakini asiyejua kumaliza Jambo. Baada ya kazi nzuri huwa anamalizia Kwa cross mbovu.Exactly!! Acceleration ya Moloko aswa kwenye game kama hii ya Mtani uwa ina impact sana.
Humfanya Zimbwe kutokupanda sana kushambulia.
Na pia nimchezaji anaeweza kubreak backline Yako kwa gafla sana na kukuacha ukishangaa.
Kongole! Kwa Kocha Nabi kwa kuliona ilo na kufanya sub yake, hakika alikua na mchango mkubwa sana katika ushindi wa leo. [emoji122]