Mlio kuwa mnamponda Moloko leo mmeona umuhimu wake?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Jesus Moloko ana sifa kuu mbili.

1. Ni winga mwenye mbio.

2. Ana kismati sana.

Kasi ya Yanga kipindi cha pili Moloko amechangia kwa kiasi kikubwa sana.
 
Sanaaa, Especially Moloko na Morrison. Beki za simba zikawa busy shabalala hapandi kabisa.
Exactly!! Acceleration ya Moloko aswa kwenye game kama hii ya Mtani uwa ina impact sana.

Humfanya Zimbwe kutokupanda sana kushambulia.

Na pia nimchezaji anaeweza kubreak backline Yako kwa gafla sana na kukuacha ukishangaa.

Kongole! Kwa Kocha Nabi kwa kuliona ilo na kufanya sub yake, hakika alikua na mchango mkubwa sana katika ushindi wa leo. [emoji122]
 
Mchezaji mwenye Kasi lakini asiyejua kumaliza Jambo. Baada ya kazi nzuri huwa anamalizia Kwa cross mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…