G
๐คฃ๐คฃ๐คฃ japo sijui kilichopo kwenye ndoa ila niseme kuwa huyo wa upande wa kulia sio Jux, hajakonda kiasi hikoMlio owa Kuna Nini huko tuambieni mapema wakuu mana sio wakwanza huyu niwengi wakisha owa Wana Anza kuzeeka na kukonda tuambieni shida hua Nini huko
View attachment 3649381
๐คฃ๐คฃ cicy na wewe unakubali kweli kuwa Jux kakonda hadi kuwa hivyo?
Hapana bana hajafika huko ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ cicy na wewe unakubali kweli kuwa Jux kakonda hadi kuwa hivyo?
Sure, binafsi nakataa pia kuwa hajakonda kihivyo Ila hii mitandao bana, wamemdizaini ana shingo kama ufagio wa chooni ๐ ๐คฃHapana bana hajafika huko ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wanayakuza lol ๐
Kupambana na mood swings za mtu mmoja kila siku kunatumia calories nyingi kuliko kupasua miamba Twin.
Et wame mdizaini hivi wewe ๐คฃ๐คฃ๐Sure, binafsi nakataa pia kuwa hajakonda kihivyo Ila hii mitandao bana, wamemdizaini ana shingo kama ufagio wa chooni ๐ ๐คฃ
Kataa ndoa wanajichukulia point hapa ๐คฃKupambana na mood swings za mtu mmoja kila siku kunatumia calories nyingi kuliko kupasua miamba Twin.
Tuhame tu my g
Sawa tuhamie ugaibuni kijana mdogo๐Tuhame tu my g
Sisi wenye vision bora tuzipeleke ugaibuni tuu
Wamatumbi hawana jema
Jux kaanza kula maisha wanasema kakonda.. Hii nchi wachawi ni sisi wenyewe
๐๐๐๐ Mabroo watusanue mapema maana tunaanza kuogopa sasaMlio owa Kuna Nini huko tuambieni mapema wakuu mana sio wakwanza huyu niwengi wakisha owa Wana Anza kuzeeka na kukonda tuambieni shida hua Nini huko
View attachment 3649381
Daah ๐ haya mshangaziSawa tuhamie ugaibuni kijana mdogo๐
Safii juniyaa๐Daah ๐ haya mshangazi
Kwenda kafie mbali mtoto wa juziSafii juniyaa๐
Wabongo wakikuamulia ๐๐๐๐คฆ๐ปโโ๏ธ