BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Duh paka hata panya wanaiogopaMie nimeweka sauti ya paka mjamzito.
Kuwatisha wezi wa simu
Ngoja niipakue hii ngoma ila napenda sana raggae man!Bandana- Fire boy ft Asake
Hii ngoma naikubali ipo active ina vibes.Wild World - Maxi Priest
That song is so loving..Heaven Sent- Keyshia Cole
Kwamba hata ubadilishe simu utaweka hio ngoma!?Mary J.Blige - Be Without You
Vibes.. ipo kwenye playlist yangu!Damian Marley - welcome to jamrock
Kuna watu hata watoe ngoma gani ua siiachi bc ni mwanangu DamianVibes.. ipo kwenye playlist yangu!
Ndio, naikubali sana.Kwamba hata ubadilishe simu utaweka hio ngoma!?
Damian ni mwamba huyo kama c martin an so like!vibesKuna watu hata watoe ngoma gani ua siiachi bc ni mwanangu Damian
jaykae_toothacheSijawahi badilisha hio ni kama id yangu huku porini kama member utanitambua kwa hivo.
Je wewe unapandelea ringtone gani au mlio gani kwenye simu yako?
I love weeds!
nashangaa maana ringtone yangu ni ile sauti ya vibrationWatu bado mnaweka ringtones? Nilidhani hayo mambo yaliisha 2008 huko au nilipo ndo watu hawatumii ringtones sikumbuki mara ya mwisho kusikia simu ya mtu ikiita.