Mlio (Ringtone) ya simu yangu-jamming ya Bob Malrey. Je, wewe unapandelea ringtone gani?

Mlio (Ringtone) ya simu yangu-jamming ya Bob Malrey. Je, wewe unapandelea ringtone gani?

Hossana bukule alleluyah hosana eehh ,, hosana mukuleee haleluyah hosanaaaa

Hosana maombiiiii,,, alleluyah hosanaa
Iite sauti ya chiini, kwenye gari unaweza kuruka nje! just joking.
 
Mie napenda mlio wa ATM pale inapomwaga mzigo natamani kama ningeweza kuurecord

Ila mwenye anao naomba atupie humu
 
Muchana ya kanda bongo man kuna kipande gitaa linatembea balaa nimekaa na hii ringtone nadhani mwaka wa 12+ device ndo inabadilika tuu
 
Back
Top Bottom