BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
- Thread starter
-
- #41
Iite sauti ya chiini, kwenye gari unaweza kuruka nje! just joking.Hossana bukule alleluyah hosana eehh ,, hosana mukuleee haleluyah hosanaaaa
Hosana maombiiiii,,, alleluyah hosanaa
Safi sana kwanini unaipenda hii ngoma?!Rafiki wa Kweli-Langa
Hii sitokuja kubadilisha kamwee
1.Beat la mule ndani ni hatari na linavoanza pale ni ringtone toshaSafi sana kwanini unaipenda hii ngoma?!
Dah nimecheka sana your so comedy..Mie napenda mlio wa ATM pale inapomwaga mzigo natamani kama ningeweza kuurecord
Ila mwenye anao naomba atupie humu
Vitu gani vidogo kwa mwanaume na vp vikubwa?be honest man.Mwanaume kuna minor things hutakiwi kuvizingatia sana.
vibra means hupendi kelele!Vibration inanitosha sana
Mockingbird by Eminem.Sijawahi badilisha hio ni kama id yangu huku porini kama member utanitambua kwa hivo.
Je wewe unapandelea ringtone gani au mlio gani kwenye simu yako?
I love weeds!
kama hizo mambo za rintonVitu gani vidogo kwa mwanaume na vp vikubwa?be honest man.
Unatumia mtetemo (vibration) sio miito(ringtone) i got you man one love!Ambacho huelewi ni kutu gani? Hiyohiyo sauti ya mtetemo ndo ringtone yangu.
Ukubwa na udogo unatumia vipomo gani?kama hizo mambo za rinton
Waaacha weeeh👀Mary J.Blige - Be Without You
😜Waaacha weeeh👀