Mlio single mnaishi vipi?

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anyways sina chakufanya ila ushauri wangu .
Ni huwezi ishi maisha yote single .
Unakuwa hujakamilika kabisa
Ni mtazamo wako, au pengine Hilo ni kwa akina Mama, Mimi mwanaume na ninaelekea mwisho wa maisha yangu, sijaona taabu, ni maisha bila bhughugha na mtu.
 
Laiti ningekua single wallah ningejitahidi sana nisioe kabisa ani[emoji28]

Ubachela hasa ukiwa single ni raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…