Mlio wahi kudate na wasichana wa facebook,naomben ushaur kwa hili.

Mlio wahi kudate na wasichana wa facebook,naomben ushaur kwa hili.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wakuu,kuna shori flani nlimit nae pande za feisibuku,sa katka zle chattngs za mara kwa mara,nkajikuta nimemlamba sound nae bila kuzuga nin akawa dezain flan ka kaingia line,wel kaniambia jana kaenda moshi na me ka zali flan kesho natimba pande za skan kwetu huko huko moshi,sa naomben maushauri yenu,nikampge mikasi au nitemane nae?
 
Ucpige mikasi tunga uzi kwenye sindano tu hlf sepa.
 
so kuchat naye kwenye facebook tu unataka kwenda kupiga mikasi? tayari mnafahamiana on a real life, personal level au kila kitu kimeishia mtandaoni tu? kama ni hivyo, kuna tofauti gani na kwenda kuopoa ngoma uwanja wa fisi sasa?
 
hakuna mtaalam wa kujilipua.
We lipuka kivyako tu
 
Una uhakika kuwa kweli una hisia za kweli kwake na kweli unahitaji kushare nae bed?
As for me, sikushauri kufanya hivyo, na swali langu utalala na wangapi huko facebook?
 
Kuwa makini kaka.Life is short but it needs umakini zaidi.Jaribu kujijali. Mwili wako ni zawadi ya pekee aliyokupa Mungu,na unahitaji kuuheshimu.Ngono sio fasheni.Nakushauri achana na mambo hayo ya Ngono.Fanya mambo yako ya msingi.
 
Hapo muhimu ni kinga, vinginevyo suala la kumtom tom halina mjadala.
 
Nenda kampige hyo mikasi, ukikuta ananyembe uje utujuze mkuu..(sio kila king'aacho kimepigwa na jua)
 
Ningekuwa mimi ningepiga kwanza af ndo ningekuja kuomba ushauri..Kwani mapenzi ya mtandaoni kitu gani au tuna uhakika gani nao hawa ambao tuna wapata kihome home ka hawajatulia??!
 
Back
Top Bottom