Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu


Mkuu sijui unajishughulisha na nini? Natamani kujua bila shaka eletronics na simu
 
Hivi ndg yangu trillion 8 unaijua lkn?

hio trillion 8 unayoisema ni umejumlisha utajiri wa (Bakhressa+Mengi+Rostam+Dewji) na bado combined hawajafikia hio trillion 8.Atakua ni tajiri gani hapa bongo mwenye pesa hio?Kudanganyana sio kuzuri aisee.

Hoja kama hio yako ndiyo inafanya ule msemo wa za kuambiwa changanya na zako aisee.
 
tutashangaaa sana humu ndani nakuambia
 
Natamani sana kujiajiri kwenye ufugaji wa samaki! Sasa mambo yalivyobana pesa ya kuanzia inatoka wapi? Lakini siku nikiweza tu hawataniona tena na hizi kazi zao ambazo zimekuwa za kijinga kijinga!!
 
Dah!,mpk mate yamenitoka kwa huo mtonyo bro...,
 
dah!,jamaa katuchomesha mahindi!,bongo Nyoso!
 
Acha kumtia uoga mwenzio wewe we endelea kuajliwa mwenzio aafanye kazi zake mwenyewe
 
Umenipa ushujaa
 
Jilipue kijana, kata minyororo ya utumwa, kuajiriwa ni mfumo wa ki Babylon( Babylon system) yaani unatumikishwa age ikifika to the maximum wana kudump then anachukua nafasi mtu mwingine na zoezi hilo huendelea kizazi hadi kizazi.

Fanya maamuzi magumu na hutojutia abadani, kataa utumwa, kuajiriwa ni uwoga wa maisha, hakuna cha zaidi ya kupata vijihela ya kula, na kununulia watoto nguo za sikukuu, ikijitahidi sanaa utajenga kibanda kwa mkopo nao utakutesa maishani, stuka.
 
Hio sio project inayohitaji uache kazi.Labda kama una mipango mingine.Hio mpe wife asimamie
 

hongera sana kwa kutoa uhalisia sahihi wa jambo, nakuombea mafanikio pia elewa hakuna matatizo ya kudumu.
 

Huyu ana kejeli fulani hivi
 
mhi, fata malengo yako mkuu hapa kila mtu atakushauri kulingana na level ya ujasiri wake
Sahihi kwsbb kuna wengine wana damu ya utumwa ukimshauri ajiajiri, wkt anatamani kutumikishwa akuelewi lkn kuna watu majasiri walioajiriwa kw lengo la kupata mtaji baadae anaondoka kwenda kupambana na maisha yke Hawa watu wko wachache hata umu wapo
 
why you guys mix up investment asset and turnover. those are quite different stuffs. your house is asset/ investment, your salary at the end of the year is annual turnover.
Your house is not an asset... Your house is a LIABILITY.

For a mali..!!! to be an asset should generate income more than it consume.

Cash inflow < Cash outflow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…