Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

Unfortunately, sijasoma comments zote, ila kutokana na uzoefu wangu, ukiwa mwajiriwa na unaendelea na biashara, hakuna point itafika useme mambo ya biashara yamesimama vizuri, so ni wakati muafaka wa kuacha kazi. Mara nyingi watu wa namna hiyo huwa wanaacha kazi pindi wanapostaafu. Ambapo kibiashara nafikiri at that age, inakua a little too late for them.
Booonge la point, pesa hutafutwa mapema 25-35 years, pindi mtu unanguvu unaweza hata ukavumilia njaa, usingizi kufanya kazi ngumu, hujawa na majukumu makubwa,unaweza kusafiri kwa sana nk, asa nguvu zoooote unazimalizia kwa mwajiri afu ndo uje ufanye mambo yako, kutoka ni ngumu saaaaaaaana
 
Unfortunately, sijasoma comments zote, ila kutokana na uzoefu wangu, ukiwa mwajiriwa na unaendelea na biashara, hakuna point itafika useme mambo ya biashara yamesimama vizuri, so ni wakati muafaka wa kuacha kazi. Mara nyingi watu wa namna hiyo huwa wanaacha kazi pindi wanapostaafu. Ambapo kibiashara nafikiri at that age, inakua a little too late for them.
Point, Kuacha kazi sio mchezo, watu wengi husema hivyilo hivyo kwamba wanakusanya mtaji mpaka ana stafu.

Uoga wa mwajiriwa ni furaha kwa mwajiri.
 
Mm nina miez kadhaa tangu nimejing'atua selikalini, mpaka sasa changamoto ninayoipata ni jamii, ndugu na marafiki kuniona kama nimetenda dhambi, ama kama sina akili timamu... jambo ambalo linapelekea kutowamini tena niliokuwa ninawaamini coz wanakuwa kinyume na fıkra zangu, hata ninaowaona kuniunga mkono ninaona Unafiki flani...
So kwa uzoefu wangu mdogo nina haya kwaajiri yako

1.nafikiri ni muhimu kujidhatiti vilivyo kimawazo na msawazo wa akili ili hata ukipitia vipindi vigumu uweze kujikwamua mwenyewe. Yaani kutegemea zaidi nguvu iliyopo ndani yako Mwenyewe.

2.Hadhi yako itabadilika(kimwinekano), japo sijui unafanya nini kwa sasa lkn kwa kuwa utakuwa mjasilia mali ile kuonekana Nadhifu kutapungua na kama ilivyo kwa wengi yamkini ukachukuliwa kama mtu mwenye hadhi ya chini, japo huenda sio. So chukulia poa.

3.kuwa na muda mdogo wa kupumzika.
Hii ınaweza kuwa changamoto au la! Mkiwa kwenye Ajira mnamuda wa kurepot kazini na kuondoka, lkn ukijiajiri hiyokitu haizingatiwi sana(utaendeshwa na Malengo/Shahuku ama hali ya mambo kwa ujumla, mfano unaweza ukawa unafanya kaz ya watu wawili had wanne ili kupunguza gharama za uendeshaji hivyo kuwa na muda mfupi wa kupumzika.... hata ivyo uzur ni kwamba matokeo ya kutumika huko yanakuwa ni yakwako mwenyewe[emoji4] .

4.Changamoto ya mfumo mpya wa maisha.
Ukiamua kujiajiri mwenyewe tena kwa kuacha Ajira flani unakuwa na changamoto ya kuwa na mfumo mpya wa maisha, kama kuwa na marafiki wachache kwakuwa hutokuwa na muda wa kutosha kuwekeza kwa marafiki.. na ukifanikiwa utaonekana unajidai, ama utainekana unadharau na mengine kemkem.... lkn mm nashauri kuwa imara hilo likitokea, usitake sana kuridhisha watu na kuhalalisha kujihujumu kwa kupoteza muda ama pesa! Kataa.

Ninamuda mfupi huku nje kama nilivosema so changamoto zaidi bado, zaidzaid mambo yanaenda vzur japo ni mapema mno kunitumia mimi kama usahihi wa hilo jambo.
Ukihitaji ushauri ama kujadili zaid twende kando.
naomba namba yako
 
kwa mimi suala la kua multiple source ya income ni muhimu,vitu vya kufanya ni km ifuatavyo:
1.fanya utafiti wa unachotaka kufanya.
2.tenga bajeti ya huo mradi.
3.tafuta eneo ambalo ni zuri kibiashara.
4.unaweza kuanza na kijana unaemuamini..kwakua umefanya tafiti nataraji hutaibiwa kwa kiasi kikubwa kwakua mtiririko unaujua.
5.kua karibu sn na biashara na uwe unakuwepo muda wa jioni ukiwa unafuatilia kila kitu...ratiba yako isiwe fixed...uwe unabadilika kl mara.
6.ongea na wateja wako km kuna changamoto wanazoziona kwa upande wa huduma kwa mteja.

NB
don't throw all eggs into one backet....
 
Ajira humfanya mtu kuwa muoga na kutojiamini hakuna tajir mwajiriwa hata wakat mwingine mwajiriwa akipewa ridandas huzimia wengine hufa na akati anaelimu yake mfano mimi binafsi nilikuwa mwajiriwa tena serikalini nikapata shamba karibu na kisima kikubwa cha maji nikalima ekari mbili za kitunguu nikaajiri vijana Mimi nikaendelea kuwajibika huko kazini nikawapa na pump ya maji matokeo wakawa hawamwagilii, mbolea wakauza wanalewa na mashine ikaibiwa nikaishia kupata gunia 30 ambazo zilirudisha gharama baadae nikalima tena ekar mbili zao hilo nikaweka mbolea mwenyewe nilikuwa likizo nikanunua machine nyingine akati vinakaribia kukomaa bosi akaanza kunibania ruhusa ikabidi nifoji ugonjwa nikahamia shamba nikavuna magunia 147 nikapata 12 milion mwaka uliofuata nikashindwa kulima kutokana na ubize wa kibarua mwaka uliofuata nikalima ekar 3 vitunguu na ekar 4 mahindi ya kumwagilia ya kuchoma nilipoona mazao yanakuja vizuri nikajiripua kuacha kazi nikabahatisha kupata jumla ya 19 milion hapo mazao hayakuja vizur nikaacha kazi mazima nimefanya kazi miaka 11 cjapandishwa daraja na akati naacha kazi nilikuwa nalipwa laki 6 lakini kwa sasa kipato cha shambani ni sawa na kipato cha 3.7 million kwa mwezi ninachokushaur fanya utafiti wewe mwenyewe na ujiridhishe kuchukuwa uamuz wakati mwingine huna haja ya kuuliza watu utapandikizwa uoga wa ajabu na ndoto zako zikafa kumbuka humu ndani kuna watu wanalipwa laki 2 kwa mwez lakini nyumbani kwao kuna maeneo makubwa ya uwekezaji lakini kang'ang'ania kibarua huyu akijapigwa ridanda anafia ofisini
Hii ndio comment ya siku
 
Hiyo kauli ya mwisho ni ya kioga....jasiri anatoka full loaded and ready for war...eggs and basket so what?
huwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja....
 
Au mtu anayetaka kujinyonga anaomba ushauri kwa wana familia mhi hi hi, kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia asitake easy/faster money huko ni kwenda kuanza moja kabisaa juhudi na malego ndo zitakufikisha utakako kwenda
hahahaaa nimecheka sana
 
Ajira humfanya mtu kuwa muoga na kutojiamini hakuna tajir mwajiriwa hata wakat mwingine mwajiriwa akipewa ridandas huzimia wengine hufa na akati anaelimu yake mfano mimi binafsi nilikuwa mwajiriwa tena serikalini nikapata shamba karibu na kisima kikubwa cha maji nikalima ekari mbili za kitunguu nikaajiri vijana Mimi nikaendelea kuwajibika huko kazini nikawapa na pump ya maji matokeo wakawa hawamwagilii, mbolea wakauza wanalewa na mashine ikaibiwa nikaishia kupata gunia 30 ambazo zilirudisha gharama baadae nikalima tena ekar mbili zao hilo nikaweka mbolea mwenyewe nilikuwa likizo nikanunua machine nyingine akati vinakaribia kukomaa bosi akaanza kunibania ruhusa ikabidi nifoji ugonjwa nikahamia shamba nikavuna magunia 147 nikapata 12 milion mwaka uliofuata nikashindwa kulima kutokana na ubize wa kibarua mwaka uliofuata nikalima ekar 3 vitunguu na ekar 4 mahindi ya kumwagilia ya kuchoma nilipoona mazao yanakuja vizuri nikajiripua kuacha kazi nikabahatisha kupata jumla ya 19 milion hapo mazao hayakuja vizur nikaacha kazi mazima nimefanya kazi miaka 11 cjapandishwa daraja na akati naacha kazi nilikuwa nalipwa laki 6 lakini kwa sasa kipato cha shambani ni sawa na kipato cha 3.7 million kwa mwezi ninachokushaur fanya utafiti wewe mwenyewe na ujiridhishe kuchukuwa uamuz wakati mwingine huna haja ya kuuliza watu utapandikizwa uoga wa ajabu na ndoto zako zikafa kumbuka humu ndani kuna watu wanalipwa laki 2 kwa mwez lakini nyumbani kwao kuna maeneo makubwa ya uwekezaji lakini kang'ang'ania kibarua huyu akijapigwa ridanda anafia ofisini
Mkuu Naomba Namba Yako mkuu
 
Hahaaa ndo hivyo, ukiona mtu anaowaambia ndugu kwamba anataka kujinyonga jua huyo anaogopa sana kifo, ila asie ogopa watu hushitukia mtu ana ning'inia juu ya mti.

Mimi sikuomba Ushauri kwa mtu bali mwenyewe, Mimi ndo kiongozi wa maisha yangu mimi ndo incharge mkuu wa maisha yangu na si mwingine.
mkuu, ingependeza siku moja utupe mtiririko mzima wa namna ulivyo Acha kazi na changamoto ulizo pitia. Maana niko inspired saana na comments zako kiujumla..

Itatuwezesha sisi wengine kutoka kwenye huu utumwa wa kuajiriwa..
Ingawa ninazo plan za kutoka kwenye huu utumwa, kabla sijavuka umri wa miaka 30
 
Ajira humfanya mtu kuwa muoga na kutojiamini hakuna tajir mwajiriwa hata wakat mwingine mwajiriwa akipewa ridandas huzimia wengine hufa na akati anaelimu yake mfano mimi binafsi nilikuwa mwajiriwa tena serikalini nikapata shamba karibu na kisima kikubwa cha maji nikalima ekari mbili za kitunguu nikaajiri vijana Mimi nikaendelea kuwajibika huko kazini nikawapa na pump ya maji matokeo wakawa hawamwagilii, mbolea wakauza wanalewa na mashine ikaibiwa nikaishia kupata gunia 30 ambazo zilirudisha gharama baadae nikalima tena ekar mbili zao hilo nikaweka mbolea mwenyewe nilikuwa likizo nikanunua machine nyingine akati vinakaribia kukomaa bosi akaanza kunibania ruhusa ikabidi nifoji ugonjwa nikahamia shamba nikavuna magunia 147 nikapata 12 milion mwaka uliofuata nikashindwa kulima kutokana na ubize wa kibarua mwaka uliofuata nikalima ekar 3 vitunguu na ekar 4 mahindi ya kumwagilia ya kuchoma nilipoona mazao yanakuja vizuri nikajiripua kuacha kazi nikabahatisha kupata jumla ya 19 milion hapo mazao hayakuja vizur nikaacha kazi mazima nimefanya kazi miaka 11 cjapandishwa daraja na akati naacha kazi nilikuwa nalipwa laki 6 lakini kwa sasa kipato cha shambani ni sawa na kipato cha 3.7 million kwa mwezi ninachokushaur fanya utafiti wewe mwenyewe na ujiridhishe kuchukuwa uamuz wakati mwingine huna haja ya kuuliza watu utapandikizwa uoga wa ajabu na ndoto zako zikafa kumbuka humu ndani kuna watu wanalipwa laki 2 kwa mwez lakini nyumbani kwao kuna maeneo makubwa ya uwekezaji lakini kang'ang'ania kibarua huyu akijapigwa ridanda anafia ofisini
Hongera saana mkuu. Komenti yako imenitia nguvu saana Mimi ambaye niko mbioni kuacha kazi
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Back
Top Bottom