Tena msiba nitakaoweka ni mzito mnooo.Yaani wewe shukuru umekuwa ndugu yangu. La sivyo ningekuwa nakutongoza kwa siku mara nne na I'd mpya
Msiba wa nini labda?Tena msiba nitakaoweka ni mzito mnooo.
Si nakukubali tu kwa id zote, taabu zote za nini,!!
Oooh kumbe haumuwezi? Kwahiyo ukeghairi?
Nalendwa njoo uchague kati ya kaka zangu hawa wawili yupi kamoyo kamemdondokea.
Huyu si ulimtongoza mwenyewe huku unaogopa ogopa, mpaka nikashangaa huyu ndio my kaka niliomzoea au mtu kahack ac yake!! Leo ndio nimegundua kumbe unampenda ila unamuogopa RRONDO. Nasubiri aseme anampenda nani kati yenu then niweke msiba tu.
Afadhali hili jibu limenipa moyo maana nilikuwa nakaribia kuzimia.[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Espy unanitafutia case sasa. Mie ntawaweza kweli chicks wa humu ndani? Unaona mstari wake lakini??!
Inaonekana yanayoonekana yamo kweli! [emoji108]Kwa kukupamba wewe...kweli niko vizuri.
We hauoni huu ni msiba?!!! Naanzaje kumkaanga rafiki yangu namna hiyo?? She is tooo prescious for that.Msiba wa nini labda?
Ujue haujajibu swali.Haha!, eti uweke msiba! [emoji2] [emoji28] [emoji28]
Wacha wee. And she's too beautiful for us. Haha na niliona kaanzisha na uzi kabisa [emoji6]We hauoni huu ni msiba?!!! Naanzaje kumkaanga rafiki yangu namna hiyo?? She is tooo prescious for that.
[emoji2] [emoji28] [emoji28]Yaani wewe shukuru umekuwa ndugu yangu. La sivyo ningekuwa nakutongoza kwa siku mara nne na I'd mpya
Naona umeshamchagua nanii kwenye lile swali hapo juu[emoji2] [emoji28] [emoji28]
Naamini hii..
Afadhali hili jibu limenipa moyo maana nilikuwa nakaribia kuzimia.
We hauoni huu ni msiba?!!! Naanzaje kumkaanga rafiki yangu namna hiyo?? She is tooo prescious for that.
Nani kaanzisha uzi?Wacha wee. And she's too beautiful for us. Haha na niliona kaanzisha na uzi kabisa [emoji6]
Usijisahaulishe, nipe jibu nijue ni msiba au sherehe.Hahaha, [emoji28]
Aww!, you're so sweet! [emoji8]
Tatizo lako bado unatumia startimes jaribu continental the quality to talk about Too good Looking to get a boyfriendNani kaanzisha uzi?
Naona umeshamchagua nanii kwenye lile swali hapo juu