Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Oooh kumbe haumuwezi? Kwahiyo ukeghairi?

Nalendwa njoo uchague kati ya kaka zangu hawa wawili yupi kamoyo kamemdondokea.

Haha!, eti uweke msiba! [emoji2] [emoji28] [emoji28]

Huyu si ulimtongoza mwenyewe huku unaogopa ogopa, mpaka nikashangaa huyu ndio my kaka niliomzoea au mtu kahack ac yake!! Leo ndio nimegundua kumbe unampenda ila unamuogopa RRONDO. Nasubiri aseme anampenda nani kati yenu then niweke msiba tu.
 
Back
Top Bottom