Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Daaaah! hulka ya ajabu sana hii halafu ukute ni mtu mzima ana mvi mpaka kwenye ulimi kutwa kucha kutongoza tongoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Daaaah! hulka ya ajabu sana hii halafu ukute ni mtu mzima ana mvi mpaka kwenye ulimi kutwa kucha kutongoza tongoza
Yeleuwiiiii!!Kuna fala alikuja kunitongoza akajua mi demu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kidogo nimwanike
Kuzidiwa wapiii!! Umala*** tu wengine.Nilimstahi tuu, maana ni mtu maarufu humu na mchangiaji mzuri. Ila ni ujinga, kama wamezidiwa si wakapige punye****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KiruuuuuuuYeleuwiiiii!!
Aisee polee,Daaaah! hulka ya ajabu sana hii halafu ukute ni mtu mzima ana mvi mpaka kwenye ulimi kutwa kucha kutongoza tongoza
Yote yanaweza kuwa majibu mkuu wewe tu.
Weee....Kama sijakupata hivi!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kiruuuuuuu
Hawarizi wanataka kura papuchi za makabila yote 200 ya Tanzania. Mungu anawaona, HIV inawanyemeleaKuzidiwa wapiii!! Umala*** tu wengine.
Ondoa codes basi.Weee....
Shauri yako...
Tayari nipo kwenye daladala naelekea kibaruani....kuna mtu hapa anakodolea simu yangu kiwizi nafikiri ni mwana jf huyu...Salamaaaa, kumekucha tukawajibike.....
Hapa naliandaa guta nikahenye....
Naamini Asprin, RRONDO, Heaven Sent, Daby & co wameamkamo....
Aisee polee,
Nimegundua mimi natania wakati upo serious
Nilimstahi tuu, maana ni mtu maarufu humu na mchangiaji mzuri. Ila ni ujinga, kama wamezidiwa si wakapige punye****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejitoa ufahamu eee...Ondoa codes basi.
Fungua basi niache ugeni nawe asubuhi ya leo....Bila shaka u mgeni namimi
Huwa natamani watoe confessions, hakuna alowahi mtongoza ndugu yake?Kuzidiwa wapi zinaa inawasumbua...kuna siku watatongoza mpaka majini
Huyo nishamtambua....... [emoji2]Tayari nipo kwenye daladala naelekea kibaruani....kuna mtu hapa anakodolea simu yangu kiwizi nafikiri ni mwana jf huyu...