Mliobadili ID....

Huwa natamani watoe confessions, hakuna alowahi mtongoza ndugu yake?


Ha ha ha yupo jamaa yangu mmoja hivi namhifadhi alikumbana na aibu ya mwaka kwa kutongoza hovyo
 
Kuna fala alikuja kunitongoza akajua mi demu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kidogo nimwanike
Ha ha ha ha ha mkuu ile avatar yako ya mwanzo hata mimi nilijua wewe ni mrembo wa ukweli....sema michango yako ilikuwa inaonesha uanamme..
 
Kuna fala alikuja kunitongoza akajua mi demu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kidogo nimwanike
Mkuu hata Mimi ile avatar yako vilinipa fikra kuwa ni binti flan kisu sana.[emoji23]

Tongozo sio ajabu, wapo wengi tu wamekuwa wapenzi humu. Tusiumbuane turahisishiane kwa kuweka vijiutambulisho visivyo tuingiza chaka.[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Huhuhuuuu!! Sio wewe kweli!!!
 
Nimecheki hiyo user name yako ya zamani nikajikuta hata sijawahi kuiona pia. So ngoja nipige kimya.
ID ya zamani nilikutongoza vizuri nikakosea jambo moja tu ukanikataa sasa nimekuja upya
 
espy mbn unanifuatilia hv [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] umenifuata had huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…