Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleee unaumwa kumbe...[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Nilikumiss hadi naumwa my lovely kaka, how are you?
Karibu tena my kaka.Asante sana kiongozi, nitajitahidi kuingia ingia aisee, nimeishapitwa na mengi sana humu, daah!!
Mi ninayo, ila sio kama yake.Kumbe wewe huna majukumu kama mimi.....🙂🙂🙂
Ahadi ni deni.Mwambie huyo shem wako mpya akununulie....mimi si mbahili....🙂🙂🙂
Ila ubahili safi sana.... Siyo unakuwa kama gang la kina IvanMwambie huyo shem wako mpya akununulie....mimi si mbahili....🙂🙂🙂
Dada habar samahanOooh!! Jitahidi this time usikosee, lasivyo bora uache nikutongoze mwenyewe.
Na wewe umo kwenye hiyo list?
Ooooh! Kumbe tapeli!Ni kweli ila kuna madeni huwa hayalipiki....🙂
Mwe mwe mweeeeh!!Mi Simo Kabisaaa katika list hiyo.
Ingawa yupo mmoja nimewahi kumzimia, nilikuwa nasoma maandishi yake naimagine jinsi alivyo nikawa napata mataswira murua tuu[emoji12] [emoji4]
Nikaishia kula kwa macho tu nikabaki kulike & quote bas.[emoji23] [emoji23] [emoji23] itabidi niwe na Id maalum kwa kazi hiyo.
Hahaaaa haya mkuuBusara zako bado zinahitajika.
I'm good my sister, how ar you too? ahaaaa eti hadi unaumwa[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Nilikumiss hadi naumwa my lovely kaka, how are you?
Am good.I'm good my sister, how ar you too? ahaaaa eti hadi unaumwa