Mliobadili ID....

Mod watafute namna ya kufanya picha zinazotupiwa humu zionekane kirahisi binafsi huwa napenda sana kuangalia picha kuliko kusoma maandishi mfano ni picha ya huyo bibi harusi ukiwa unafungua tu application unaiona ila sasa ukija ndani mpaka upate picha yenyewe ni kazi ila naona ni ya kuvutia inaweza kunichekesha
 
Na wewe umo kwenye hiyo list?

Mi Simo Kabisaaa katika list hiyo.

Ingawa yupo mmoja nimewahi kumzimia, nilikuwa nasoma maandishi yake naimagine jinsi alivyo nikawa napata mataswira murua tuu[emoji12] [emoji4]


Nikaishia kula kwa macho tu nikabaki kulike & quote bas.[emoji23] [emoji23] [emoji23] itabidi niwe na Id maalum kwa kazi hiyo.
 
Mwe mwe mweeeeh!!
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Nilikumiss hadi naumwa my lovely kaka, how are you?
I'm good my sister, how ar you too? ahaaaa eti hadi unaumwa
 
Kiruuuu usifikishe hizo taarifa. Yule anaweza nifungia mahabusu kwa muda.[emoji4] futaa fasta kabla Nalendwa hajaona.


Duh!, we mtu ndo umeachiwa leo toka last weekend!!!!!
Ama kweli somo lilikuingia! πŸ™‚

espy kaka ako naona kajifunza mapenzi mubashara mpaka alifungiwa ndani karibu week!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…