Kuna fala alikuja kunitongoza akajua mi demu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kidogo nimwanike
Kuzidiwa wapiii!! Umala*** tu wengine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji28] [emoji12]
Halafu nashukuru imeanza, kama unavyojua Inabidi tufanye kikao cha dharura..
Hii weekend ya kuanza jumatano.....
Huhuhuuuu!![emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahah!, no comment on this.
Ngoja niwe mpenzi mtazamaji. [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] ...haha, espy huo ni wa kiwango cha lami.
[emoji28] kama mashindano vile..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio ile "wasione sketi...."
Si hivyo, maisha yenyewe haya mafupi dear.Inaonesha wengine hamjanyooka...!
Ulikua nani vile?
Ndo naamka... kwani leo sio weekend??Salamaaaa, kumekucha tukawajibike.....
Hapa naliandaa guta nikahenye....
Naamini Asprin, RRONDO, Heaven Sent, Daby & co wameamkamo....
[emoji6][emoji6]
[emoji6][emoji6]