falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
kali ya mwakaWatu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kali ya mwakaWatu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Ilbidi nijikaushe nyanya zisionekane! [emoji85]Minal Fahidhina
Shost jana nyanya hazikuiva masikio?, kisa cha kufinya kimpunga peke yako?
Group linahusu nini mkuu maana makundi yalipigwa vita saana humuFollow this link to join my WhatsApp group: wana jamiiforums
Daktareeee....habari yako binafsi aisee
Ngoja na mimi nipige kimya khs ile .... yako ya zamani[emoji1]Nimecheki hiyo user name yako ya zamani nikajikuta hata sijawahi kuiona pia. So ngoja nipige kimya.
Hahah tumetupana mi naona...kwema lakini P?Daktari umenitupa.........long time sana..........
Hahah tumetupana mi naona...kwema lakini P?
Ya atoto?Ngoja na mimi nipige kimya khs ile .... yako ya zamani[emoji1]
Usikonde dokta nitakutafuta pesonale...just like em old days ili urikave P si eti eenh...poa sana......nilikumiss muda sasa......bado sijarikava.........
Sio [emoji3]Ya atoto?
Kweli kabisa, Siku hizi unaweza kukuta ID ni ya kike kumbe ni DumeJamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
ID mpya nyingi zimechangamka sana....ID za zamani zime mute....
never mind bro...nilikuwa napita tu nkaona nitie nenoAisee unafukua makaburi....
kweli kabisa mkuuRahisi sana kulishtukia dume.....
Hatari mkuuHamna issue...vizuri kukumbushana maanake ID mpya nyingi halafu zimechangamka balaa