Wewe ulisema utanichukulia jamani!Mdogo wangu mwingine hapa. Leo kahongwa bag na bwana ake.
Wewe mdogo wangu unafeli wapi? View attachment 1347539
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli haijanogaaUmefukua kaburi eeh? Ila mimi natamani kurudisha I'd yangu ya zamani ujue hii naona haijanoga [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amen[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fanya kama bwana apendavyo
Hahaha hivyo eeh? Ngoja nijifikirieRudisha hii ID tafadhali, waombe mods watawezesha.... ni bonge moja la brand niamini mimi.
dah Kumbe umejificha kwenye hii mate!!!
Siku ukibadilisha yako mama ake!!Na kweli haijanogaa
@khantwe nini kilikufanya ubadili?Umefukua kaburi eeh? Ila mimi natamani kurudisha I'd yangu ya zamani ujue hii naona haijanoga [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipenda tu hili jina nililoweka sasa hivi@khantwe nini kilikufanya ubadili?
Niliyezeeka ni mimi hata nikitumia I'd gani bado nitabaki kuwa mzee vilevileSio kwamba ID imezeeka