Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Ujue sijakuelewa mate, huyu Mishil si mhenga aliyeishi karne sijui ya 15 huko? (Sina uhakika)

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana katika zile movie( nilikuwa naona kila tawala inakuwa na mishil wake ambae huwa hutabiri mambo mbali mbali ya nchi.) Nikawa nahisi mpaka Leo iko hivo maana wenzetu kwa kulinda tamaduni wako vizuri.
 
Ahaa kumbe unamaanisha hivyo, Mishil kwani alikuwa mtabiri? Alikuwa mhuni tu yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom