Noti za mtu hata simjui[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Acha ukatili wa kijinsia bwana. Hata akitanguliza vinoti!
Ha ha haaa ata makamu hayo?[emoji13] [emoji13] majibu hapa tu nikitongozwa nakatakata vijiti kama kawaida
Ushachanganywa wewe sio bure ha haahahahaha manga ni mpya
Wefanya kama ninavyo fanyaga mimi tu...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Kama wewe sijui kama hutuchori[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tusije tongozana 2,3,4
Kumbe I'd pia inazeeka...[emoji15] [emoji15]Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Wacha wee sisy leo unakataa mbesa.. nirushie zile zangu nilizokurushiaga basi hata upunguze madeniNoti za mtu hata simjui[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wee jamaa bora umekuja huku nikuulize. Hiv ule uzi wako unajua sikuuelewaKumbe I'd pia inazeeka...[emoji15] [emoji15]
Wewe ni kaka yangu. Hebu fanya hima unirushie tena zile zimeisha.Wacha wee sisy leo unakataa mbesa.. nirushie zile zangu nilizokurushiaga basi hata upunguze madeni
Hafu mimi nikisema Nakupenda unasema nachanganyikiwa haya nyie mnapendanaje?Penda wewe pia mamie
Nililala mapema, si wajua leo job...
Vipi hali yako mamy wangu, Kulikoni usiku ulee
Bola uwapange kwa mikoa mana wanaongezeka kila kukicha hongela sanaPoa mdogo wangu wa Moshi
Nakumiss ujue
[emoji16][emoji16]Wewe ni kaka yangu. Hebu fanya hima unirushie tena zile zimeisha.
Kiukweli mii ulinistua nafurahi tu sikuyummba kukutajaTena ndio safi unamchora tu mtu, huku unacheka kimoyomoyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee jamaa bora umekuja huku nikuulize. Hiv ule uzi wako unajua sikuuelewa
Kwani ulikua na vigongo sana...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Wee jamaa bora umekuja huku nikuulize. Hiv ule uzi wako unajua sikuuelewa
Karibu mkuu, lakini usije ukantangazaNitakuja pm unipe somo....