Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Yaani subiri siku ya kuonana ndio utafurahi na nafsi yako atakapotokea dada yako badala ya sweetie[emoji3] [emoji3]
Haha nitakukimbiaje nitafanya kama yule jamaa wa uzi wa jana. Naweka cctv nikishaona sura yako pana natoka nduki [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nami nitakuwa nakutega utokee kwanza ndio nitokee, kumbuka wewe nakufahamu ila wewe wakati huo unawaza unakutana na mwingineee kumbe mimi dada yako.
 
Hahaha.. JF raha saana unaweza mtongoza mkeo kwa mara ya pili
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]
Uko busy kumbe unatongoza mkeo, hizi fake id noma sana. Au unajikuta unamtongoza ndugu yako.
[emoji16][emoji16]. Unaomba utumiwe namba. Ukirushiwa ya wife au sister. Ndiyo maana watu wanabadilisha I'd wengine wanazitelekeza
 
Duh thats a disaster......unapewa namba smartphone inadadavua 'wife'....🙁
 
Back
Top Bottom